Welcome note

Welcome to inspired blog.Be blessed all

Tuesday, October 22, 2019

Power of relationship


Mojawapo ya faida za kuimarisha mahusiano yako na Mungu ni kuwa hautakuwa tena chini ya sheria bali upendo wako kwa Mungu na mahusiano yako nae ndio yatakayokuwa yanakuongoza.

Itakulazimu kutenda mambo mazuri sababu tu  yale mahusiano uliyonayo na Mungu na wala sio kwa sababu sitafaidika au naogopa adhabu.

“Nimtendeje Bwana wangu uovu huu?”

No comments:

Post a Comment