Welcome note

Welcome to inspired blog.Be blessed all

Wednesday, December 26, 2018

KUISHI PAMOJA KAMA ATAKAVYO MUNGU


12 Basi, kwa kuwa mmekuwa wateule wa Mungu, watakatifu wapendwao, jivikeni moyo wa rehema, utu wema, unyenyekevu, upole, uvumilivu, 
13 mkichukuliana, na kusameheana, mtu akiwa na sababu ya kumlaumu mwenzake; kama Bwana alivyowasamehe ninyi, vivyo na ninyi. 
14 Zaidi ya hayo yote jivikeni upendo, ndio kifungo cha ukamilifu. 
15 Na amani ya Kristo iamue mioyoni mwenu; ndiyo mliyoitiwa katika mwili mmoja; tena iweni watu wa shukrani. ⇒Kol 3:12-15

---Tafakari
Hapo juu tunaoneshwa ni namna gani inatupasa kuishi pamoja kama Kristo atakavyo,lakini inasisitizwa hapa chini ktk mstari wa 16 kuwa haya yanawezekana kama Neno la Kristo litakaa ndani yetu na hivyo tutaweza kuenenda kama Kristo atakavyo

16 Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. 
17 Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye. ⇒Kol 3:16-17

Tuesday, December 18, 2018

CONSCIENCE AND GUIDANCE

You can only let your conscience be your guide, when God guides your conscience.

“Unto the pure all things are pure: but unto them that are defiled and unbelieving is nothing pure; but even their mind and conscience is defiled.” Titus 1:15

You can only let your conscience be your guide, when God guides your conscience (crosswalk devotions)

Thursday, December 13, 2018

UPENDO NA USHIRIKA

UMUHIMU WA USHIRIKA/UPENDANO NA MASAIDIANO NDANI YA KANISA
Kwanini ni muhimu kudumu katika ushirika na upendano

  • Jirani yangu/yako ni mwana wa Mungu
  • Kanisa la kwanza lilianza hivyo
  • Ni sehemu ya injili
  • Mungu mwenyewe ni ushirika