Welcome note

Welcome to inspired blog.Be blessed all

Tuesday, September 26, 2017

Perseverance must finish its work

Consider it pure joy, my brothers, whenever you face trials of many kinds, because you know that the testing of your faith develops perseverance. Perseverance must finish its work so that you may be mature and complete, not lacking anything. --James 1:2-4

Thursday, September 7, 2017

A GOD WHO RELATES

Our God is a God who relates,so our lives should as well be 
centered into relationships and not just 
achieving things.May the Almighty God help us to live in love and unity.

Saturday, September 2, 2017

NO EXCUSE

Mara nyingine huwa tunadanganyika halafu tunakubali,tunaogelea katika dhambi kwa kisingizio kuwa sisi ni wadhaifu,angalia Mungu asemayo hapa:


3 Maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu, kutakaswa kwenu, mwepukane na uasherati;
4 kila mmoja wenu ajue kuuweza mwili wake katika utakatifu na heshima;
5 si katika hali ya tamaa mbaya, kama Mataifa wasiomjua Mungu.
6 Mtu asimpunje ndugu yake wala kumkosa katika jambo hili; kwa sababu Bwana ndiye alipizaye kisasi cha haya yote; kama tulivyowaambia kwanza, tukashuhudia sana.
7 Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso.
8 Basi yeye anayekataa, hakatai mwanadamu bali Mungu, anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu.

1 Thes 4:3-8

Ni mapenzi ya Mungu na kusudi la Mungu tuishinde dhambi maana hatukuumbwa hivyo,na katika kutusaidia katika hilo ametupa na Roho wake Mtakatifu ili atusaidie,Kwa hiyo ni uamuzi wangu kumruhusu Roho Mtakatifu anisaidie au niendelee kutembea katika dhambi mwisho wake uwe ni mauti ya milele