Welcome note

Welcome to inspired blog.Be blessed all

Friday, March 22, 2019

Usiogope,Mungu ndiye atuwezeshaye kutaka kwetu na kutenda kwetu

One thing I have learned in life so far is that,whenever I face a challenge it in one way or another show how weak/vulnerable on my own I am and that I do not know everything all the time. It encourages me to always be humble before God,remain calm proclaiming victory and be ready so that he can teach me and guide me through the learning process daily and empower me to do all that I have/needed  to do.

 "Basi rafiki zangu wapendwa, kama ambavyo mmekuwa mkitii nilipokuwa nanyi, nawasihi mwendelee kunitii vivyo hivyo, na hata zaidi sasa kwa kuwa sipo pamoja nanyi. Endeleeni kufanya bidii kwa ajili ya wokovu wenu huku mkitetemeka na kuogopa. 13 Kwa maana ni Mungu ambaye anatenda kazi ndani yenu, akiwapa nia ya kutimiza mapenzi yake na kuwawezesha kutenda yale yanayompendeza "   Fil 2:12-13

Ni Mungu ndiye atuwezeshaye so tusiogope daima tumtumaini na tumkiri yeye

Wednesday, March 20, 2019

Mungu anatafuta

Vitu anavyovitafuta Mungu
1.Waabuduo halisi
2.Wakusimama palipobomoka
3.Watendakazi

Wednesday, March 6, 2019

KULITUMIKIA SHAURI LA BWANA

Kuna makusudi ya aina tatu katika maisha,
Kusudi la Mungu
Kusudi la wanadamu
Kusudi la ibilisi

Jambo la kuzingatia hapa unapotamani kutimiza kusudi fulani ni vizuri ukajifunza kwa wale wanaolitumikia kusudi linalofanana la la kwako.
Kamwe usijaribu kukaa pamoja na kuambatana na wale wasio na kusudi la Mungu wakati wewe una nia ya kulitumikia kusudi la Mungu.