"I have much more to tell you,but now it would be too much for you to bear.When however the Spirit comes who reveals the truth about God,he will lead you into all truth".John 16:12-13. Do you want to know the truth?are you everytime seeking the truth?I have good news for you,Accept Jesus as the Lord and Saviour of your life,ask him to fill you with The Holy Spirit and The Holy Spirit will lead you into all truth.
Page Links
Welcome note
Welcome to inspired blog.Be blessed all
Wednesday, December 26, 2018
KUISHI PAMOJA KAMA ATAKAVYO MUNGU
12 Basi, kwa kuwa mmekuwa wateule wa Mungu, watakatifu wapendwao, jivikeni moyo wa rehema, utu wema, unyenyekevu, upole, uvumilivu,
13 mkichukuliana, na kusameheana, mtu akiwa na sababu ya kumlaumu mwenzake; kama Bwana alivyowasamehe ninyi, vivyo na ninyi.
14 Zaidi ya hayo yote jivikeni upendo, ndio kifungo cha ukamilifu.
15 Na amani ya Kristo iamue mioyoni mwenu; ndiyo mliyoitiwa katika mwili mmoja; tena iweni watu wa shukrani. ⇒Kol 3:12-15
---Tafakari
Hapo juu tunaoneshwa ni namna gani inatupasa kuishi pamoja kama Kristo atakavyo,lakini inasisitizwa hapa chini ktk mstari wa 16 kuwa haya yanawezekana kama Neno la Kristo litakaa ndani yetu na hivyo tutaweza kuenenda kama Kristo atakavyo
16 Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
17 Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye. ⇒Kol 3:16-17
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment