Dunia imejaa watu walio tayari kukosoa tu na kuhukumu kila kukicha. Ni wachache sana wanaojali ku -appreciate mambo mazuri ya wengine,na hata wengine wakifanya hivyo wanafanya kwa hila na faida zao binafsi.
Mara nyingine kukosoa kunatokana na kukosekana kwa uhakika au maarifa ya kutosha kwenye eneo hilo hali inayopelekea kila mtu kuamini vya kwake na kuwaona wengine wamekosea.
Hali hii imepelekea watu kujawa na hofu na kukosa ujasiri katika kuchukua hatua mbalimbali katika maisha kwa kuhofia watu watanionaje au je nimepatia au nimekosea?
Haya hapa ni baadhi ya hatua zinazoweza kusaidia kutumia hali hii iliyoenea kwa namna itakayokujenga(a good way to benefit from criticism is to)
1.Mwamini Mungu kuwa anaweza yote na anakutumia wewe kufanya kitu katika nyakati zako,jiamini kuwa Mungu amewekeza ndani yako.2 Tim 1:9,14
2.Andaa mazingira ya kiroho ya maisha yako kwa maombi,Neno na majitoleo mengine kabla hayajatukia katika mwili maana yote yaliyokuwapo yamefanywa kwa yasiyokuwapo kwanza Mw 1:3
3.Fahamu kuwa una mamlaka na kuwa Mungu amekupa kila unachohitaji kwa kazi nae so ni wewe kuvitumia,stretch beyond ur limit and you will see the ability God had placed in you.

4.Be ready to learn from your mistakes and from others too
No comments:
Post a Comment