Faida za kuitafuta hekima na ufahamu na elimu

  • Usimwache, naye atakuhifadhi; Umpende, naye atakulinda. 
  • Umtukuze, naye atakukuza; Atakupatia heshima, ukimkumbatia.
  • Atakupa neema kuwa kilemba kichwani; Na kukukirimia taji ya uzuri. 
  • Uendapo, hatua zako hazitadhiikika, Wala ukipiga mbio hutajikwaa. 
  • Kutoingia katika uovu
  • Njia yako itakuwa kama nuru ing'aayo ikizidi kung'aa hata mchana mkamilifu
  • Linda moyo Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.