Welcome note

Welcome to inspired blog.Be blessed all

Friday, February 16, 2018

SIMAMA USIOGOPE



Dunia imejaa watu walio tayari kukosoa tu na kuhukumu kila kukicha. Ni wachache sana wanaojali ku -appreciate mambo mazuri ya wengine,na hata wengine wakifanya hivyo wanafanya kwa hila na faida zao binafsi.
Mara nyingine kukosoa kunatokana na kukosekana kwa uhakika au maarifa ya kutosha kwenye eneo hilo  hali inayopelekea kila mtu  kuamini vya kwake na kuwaona wengine wamekosea.
Hali hii imepelekea watu kujawa na hofu na kukosa ujasiri katika kuchukua  hatua  mbalimbali katika maisha kwa kuhofia watu watanionaje au je  nimepatia au nimekosea?

Haya hapa ni baadhi ya hatua zinazoweza kusaidia kutumia hali hii iliyoenea  kwa namna itakayokujenga(a good way to benefit from criticism is to)

1.Mwamini Mungu kuwa anaweza yote na anakutumia wewe kufanya kitu katika nyakati zako,jiamini kuwa Mungu amewekeza ndani yako.2 Tim 1:9,14
2.Andaa mazingira ya kiroho ya maisha yako kwa maombi,Neno na majitoleo mengine kabla hayajatukia katika mwili maana yote yaliyokuwapo yamefanywa kwa yasiyokuwapo kwanza Mw 1:3
3.Fahamu kuwa una mamlaka na kuwa Mungu amekupa kila unachohitaji kwa kazi nae so ni wewe kuvitumia,stretch beyond ur limit and you will see the ability God had placed in you.
4.Be ready to learn from your mistakes and from others too