Welcome note

Welcome to inspired blog.Be blessed all

Wednesday, February 4, 2015

Dharau aibu

1 Basi na sisi pia, kwa kuwa tunazungukwa na wingu kubwa la mashahidi namna hii, na tuweke kando kila mzigo mzito, na dhambi ile ituzingayo kwa upesi; na tupige mbio kwa saburi katika yale mashindano yaliyowekwa mbele yetu,
2 tukimtazama Yesu, mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu; ambaye kwa ajili ya furaha iliyowekwa mbele yake aliustahimili msalaba na kuidharau aibu, naye ameketi mkono wa kuume wa kiti cha enzi cha Mungu.Ebr 12:1-2

Niliyojifunza:
Kumbe tunapaswa si tu kuwa na saburi bali pia kuidharau aibu katika kutimiza mapenzi na makusudi ya Mungu katika maisha yetu.Tusikubali chochote hata aibu kutufunga tushindwe kufanya mapenzi ya Mungu.


No comments:

Post a Comment