Welcome note

Welcome to inspired blog.Be blessed all

Thursday, December 17, 2009

This time's Prayer to God

Lord God,may you help me,help us to use well our tongues and control our emotions.Weka mngojezi midomoni mwetu mlinzi mlangoni pa midomo yetu Mungu tusije tukakutenda dhambi na kubomoa/kuharibu mema uliyokwisha fanya,unayofanya na unayotarajia kufanya kwetu na katika wote katika yote ili daima yaliyo makusudi yako yapate kusimama kwa utukufu wa Jina lako Ee Munguwa huruma, Mungu wa uweza,Mungu wa utukufu .Litukuzwe, liinuliwe na liabudiwe Jina lako Takatifu na Tukufu milele na milele ,Kwa Kristo Yesu tunaomba na kuamini na kushukuru AMINA.

No comments:

Post a Comment